Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Wadau kama mnafaham mpen solution cyo mnamshambulia kwa madongo yeye kaomba ushauri jinsi ya kuziconect ili ziwe km kitu 1
Jamani mie nina simu tatu ninazotumia siku zote na kila moja ina line yake. Lakini nina ugonjwa wa kusahau na wakati mwingine naweza kusahau simu moja au mbili ofisini au nyumbani. sasa nataka nizi-set ili ikiwezekana walau niwe naweza kupokea msg zangu kwenye simu yoyote hata kama nyingine nimezisahau. Naombeni utaalamu huu kwa wanaojua. Simu zenyewe moja ni samsung na mbili ni nokia
Dah! sidhani kama nimekuelewa vizuri. kama ni kupata msg zako zote kwenye simu moja wakati line zingine zipo kwenye simu nyingine, sijawahi sikia hii kitu.
Mhn... Hii ngumu kumesa.Jamani mie nina simu tatu ninazotumia siku zote na kila moja ina line yake. Lakini nina ugonjwa wa kusahau na wakati mwingine naweza kusahau simu moja au mbili ofisini au nyumbani. sasa nataka nizi-set ili ikiwezekana walau niwe naweza kupokea msg zangu kwenye simu yoyote hata kama nyingine nimezisahau. Naombeni utaalamu huu kwa wanaojua. Simu zenyewe moja ni samsung na mbili ni nokia
Haaah haaaah, mkuu umeianzisha siku yangu vizuri.huyo anataka kwenda ku hack simu ya dem wake sijui mkewe bila shaka sema anashindwa kufunguka tu...wivu huu
Tafuta mchina Mobile TV,line tano,TV,Radio,Mziki sauti kubwa kama woofer,Touch screen,Memory mpaka 32GB unaweka,Ina eria ndefu unaweza kuitoa nje kupitia dirishani.pale kariakoo zipo shs 63,000/=tu!
huyo anataka kwenda ku hack simu ya dem wake sijui mkewe bila shaka sema anashindwa kufunguka tu...wivu huu