Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Hii kitu inanikera sana, watu hawamuogopi Mungu wao, utakuta mtu yupo kanisani kwanza kaja na Hangover ya jana ananuka mipombe halafu anasinzia muda wote mwisho anakishtuka toka kwenye usingizi wake anachukua simu yake anaanza ku chat, Jamani hapa ndipo nnapo waona ndugu zetu WAISLAM wamestaarabika zaidi hivi uende Masjid halafu una simu inaita au unanuka pombe nadhani bakora za siku hiyo zote zitakuangukia wewe. Tafadhali waungwana ukifika kanisani ZIMA simu yako weka mfukoni mpe muda huo uliopo kanisani MUNGU wako
Tabia hii ni mbaya sana.Watu wanaenda kanisani kama fasheni,yani sio kusali bali kama ratiba ya kukamilisha wiki na kwenda kusikiliza nyimbo.Na ndio maana utakuta wengi wanalala usingizi wakati wa mahubiri au mawazo yao hayapo kabisa hapo kanisani,hata kuangalia wenzao wamevaa nini.Cha msingi hapa makanisani kuwe na usimamizi mkali.Ni kazi kweli kuwabadilisha watu mpaka waelewe.
Hii kitu inanikera sana, watu hawamuogopi Mungu wao, utakuta mtu yupo kanisani kwanza kaja na Hangover ya jana ananuka mipombe halafu anasinzia muda wote mwisho anakishtuka toka kwenye usingizi wake anachukua simu yake anaanza ku chat, Jamani hapa ndipo nnapo waona ndugu zetu WAISLAM wamestaarabika zaidi hivi uende Masjid halafu una simu inaita au unanuka pombe nadhani bakora za siku hiyo zote zitakuangukia wewe. Tafadhali waungwana ukifika kanisani ZIMA simu yako weka mfukoni mpe muda huo uliopo kanisani MUNGU wako
Wadau! Hili limekuwa tatizo kubwa, maana utakuta kila siku waumini wanaambiwa wasije na simu zao makanisani lakini ndy kwanza hawasikii... Simu nyengine milio ni mikubwa n mbaya zaidi utakuta ni nyimbo za kidunia...
je! watu hawa ni wastaarabu?
na jana tu church mdada wa pembeni yangu hakuzima cmu, 2nackiliza mahubiri, tunackia"nataka paja mie hakinitoshi kipapatio"....alitetemeka mana kanisa lilikuwa kimyaaaa, kila mtu aligeuka kuckiliza mlio unapotokea....nadhani sio ustaarabu, unaweza kuizima tu kwa muda huo mchache wa misa.
Wadau! Hili limekuwa tatizo kubwa, maana utakuta kila siku waumini wanaambiwa wasije na simu zao makanisani lakini ndy kwanza hawasikii... Simu nyengine milio ni mikubwa n mbaya zaidi utakuta ni nyimbo za kidunia...
je! watu hawa ni wastaarabu?
Mahali kama kanisani ni sehemu pakuheshimiwa kwa uchaji na MUNGU anapendezwa na kufurahishwa kama anabudiwa na kutukuzwa katika hali ya utulivu na uchaji.
Dr. Chapa Kiuno.. Kwanza jina lako hapo juu ni la madaa sana, na pia kuna watu wanaudhi sana maana kunakuwa kama fashion ya kuonyesha simu zao kwa watu wengine na pia inakuwa ni usumbufu sana kuona kuwa watu wanakwenda na simu kanisaniWadau! Hili limekuwa tatizo kubwa, maana utakuta kila siku waumini wanaambiwa wasije na simu zao makanisani lakini ndy kwanza hawasikii... Simu nyengine milio ni mikubwa n mbaya zaidi utakuta ni nyimbo za kidunia...

Dr. Chapa Kiuno.. Kwanza jina lako hapo juu ni la madaa sana, na pia kuna watu wanaudhi sana maana kunakuwa kama fashion ya kuonyesha simu zao kwa watu wengine na pia inakuwa ni usumbufu sana kuona kuwa watu wanakwenda na simu kanisani
Watu wanakwenda kuchukua huko na kuna nazo hapa Bongo na kufanya yake ya unyamweziniHilo jina nilipewa na mpenzi wangu wa zamani....
Simu za kuringisha zipo unyamwezini.
vipi kuhusu vimini kanisani?
Acha hizo Masanilo, mada imewekwa barazani kila mtu ana haki ya kuchangia na kama mlitaka iwe siri mwambie alieleta mada akaitoe kanisani.Vina kuhusu? nanyie wavae basi misikitini....!