CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,968
- 9,546
simu kwa ajili ya biashara ni tab....
samsung ta ndo zinafaa, kwa maisha yetu ya mtanzania
ipads sikushauri kutokana na complications mara wifi, mara kutokupiga simu,yani kibongo bongo kazi
kaka simu nzuri za kibiashara ni lumia au iphone. sijajua unataka ya ukubwa gani. ila kama upo serious zaidi kuna tablet za inch 8 za window ambazo ni very portable kufanya shughuli zote za pc
MKuu kwa nini Tablets hazifai? Na sumsung zipi hizo ni Tablet zote za s au?
Mkuu nimekupata, na vipi Note 3?
kaka sijajua biashara yako ni ipi ila nitajaribu kukuelezea why sishauri android na why nilikazania bidhaa za apple na lumia na hizi tab za windows.
why android haifai kwenye biashara.
1.fragmentation kubwa sana ipo kwenye android
ni kawaida kuambiwa kitu fulani kinarun simu moja ya android ila hakirun simu nyengine. fragmentation ipo kwenye hardware (snapdragon + adreno, exynos + mali, nvidia, mediatek + power vr na wengine), software ( touchwiz, sense...), apps (knox ya samsung na lg ni tofauti) na vitu vingi. hivyo ni rahisi kusoma tutorial ya kitu fulani halafu isikubali simu yako.
2.malware
android ina spyware na adware na kila aina ya malware. malware wa siku hizi wapo smart tofauti na wale wa windows wao wanajua kuiba data na kukuwekea matangazo.
3. reliability
kutokana na fragmentation na os isiyokuwa optimized na hardware android sio os ya kutegemea. inaweza kuwa slow mda wowote, au ikanata hadi urestart simu au upo katikati ya kitu muhimu ikakuzingua.
4. kukosekana office apps
apps za office za android unaweza kusoma tu ila linapokuja suala la kutengeneza inakuwa ngumu na printer nyingi hazipo compatible moja kwa moja.
kwa nini lumia na iphone ni nzuri
lumia inakuja na microsoft office na nokia wanakuekea apps kama beamer na nyenginezo za presentation ambazo zinakupa experience nzuri. humu hakuna malware wengi na pia utaweza kuintergrate soft zako za pc na simu
iphone bila shaka ndio best kwa biashara. ina ecosystem kubwa na inatumika dunia nzima sababu ni nadra kuikuta ipo slow, hainati nati, hakuna fragmentation, ipo limited inakuwa ngumu mtu kukuspy. sema hii nayo bei ni kubwa.
tab za windows
tablet kama dell venue 8 pro inakaa na chaji masaa 10 inarun full windows 8.1 inakubal software zote za biashara na pia inakuja na office full hutahitaji kununua wala kucrack. ishu za kuprint au kuedit picha au kazi zozote zako utafanya kama unavyofanya kwenye pc.
yenyewe ina inch 8 tu ni ndogo kuliko galaxy tab 10 na pia ni very powerfull. na kizuri zaidi unaipata kuanzia dola 250 ambayo ni cheap sana.
Mkuu na hii Lumia 2520 unaweza ukaweka Chip na ukaitumia kama simu? Na je ukiwa na External unaweza ukaiweka ukaitumia kama kawaida?
Mkwawa na lumia na window sikuwezi ,ok kwa hiyo kwa sh 450000 napata hiyo dell hapa bongo duka gani?na ni nchi nane je inasoma sms na whatsap kama note 10.3
yah unaweka chip ila sidhani kama unaweza kupiga simu kawaida nafkiri ni kwa ajili ya 2g, 3g na 4g internet tu.
yap inakubali external kakini kutokana na usb yake ni ndogo utahitaji waya wa kuieka iwe usb kubwa ndio utumie.
angalia picha tundu la line, memory card na usb.
utahitaji waya huu kuconect na external yako.
Aisee, jana nilipita Posta kuulizia Nokia X zitafika lini basi bhana nikakutana na Lumia 1320. Ile simu Display yake si mchezo harafu iko faster vibaya sana, wanaiuza kwa Laki 7 bila kupungua. Sasa na wale Tigo wanaoiuza kwa 690,000 ina maana zinasoma mtandao wa Tigo tuu? Na imekuaje wameamua kuiza kwa bei ya chini huku wakitoa na Nokia Asha 500 bure?
Aisee, jana nilipita Posta kuulizia Nokia X zitafika lini basi bhana nikakutana na Lumia 1320. Ile simu Display yake si mchezo harafu iko faster vibaya sana, wanaiuza kwa Laki 7 bila kupungua. Sasa na wale Tigo wanaoiuza kwa 690,000 ina maana zinasoma mtandao wa Tigo tuu? Na imekuaje wameamua kuiza kwa bei ya chini huku wakitoa na Nokia Asha 500 bure?
Mkuu ulipewa jibu gani kuhusu Nx, x+ na xl?
Kuhusu Lumia 925, kuna mtu anataka kuniuzia kwa 750,000, vipi hii bei?
Maana nimeona Posta kuna maduka wanaiuza kwa 780,000 wakati Mlimani City inafika Tshs 999,000. Nimeshindwa kuelewa kwa nini tofauti kubwa hivi ya bei.
cc CHIEF-MKWAWA
sio mbaya hio bei ukizingatia ni moja kati ya simu yenye design nzuri kupata kutokea. ila kabla hujanunua mwambie jamaa akuachie uitumie kwanza uone kama utaipenda os ya windows phone
Okay, thanks. Nimeshajaribu kusoma nyuzi nyingi humu juu ya hizi Window Phones, so far naona ziko powa, halafu mimi sio mtumiaji wa vitu vingi, sana sana ni internet, movie, vitabu (pdf docs).
Nafikiri itanifaa hii, huwa kuna "kindle" na kid mode kwenye android sina uhakika kama kutakuwa na hizi apps kwenye hiyo OS.
kids corner kaka imeanzia kwenye windows phone hao wengine wanacopy toka wp.
na kindle app kwa ajili ya kusomea vitabu pia ipo