Simu Kuwa modem

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
879
Waungwana naomba kujua nitawezaje kutumia simu yangu Tecno kama modem kwenye pc window xp 2009?

Hapo awali nilikuwa natumia window 7 na simu ilikuwa ndiyo modem yangu, sasa juzi tar 24 nimepiga chini window 7 na kuweka xp nikiunga na USB haisomi zaidi ya kucharge please anajua haya mambo anisaidie
 
download android generic usb driver kwenye pc yako install then simu itadetect
 
Na mimi nina same problem aisee imenialzimu kununua modem lkn modem yenyewe nayo sijui vipi ipo slow sana hata nikiwa kwenye 3g.
Kama upo uwezekano utusaidie link ya kupata hizo drivers natumia xp pia.
 
Window gani ipo vzr ktk laptop ya dell latitude D630
 
Chief nikichokmeka USB kwenye simu inaditect issue kwenye pc haisomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…