Obama: vp dogo mambo yanaendaje?Kikwete: poa kaka shikamoo!Obama: marahaba dogo! Dogo yule raisi wa china kafuata nini huko?Kikwete: kaja hutubia kaka!Obama: kwani kwao hamna majukwaa?Kikwete: yapo sema nini ameniletea hela kidogo za kujengea ukumbi wa mikutano!Obama: cheki dogo mlivyo mafala yani miaka 50 ya kujitawala bado hamjajenga hata ukumbi wa mikutano! Halafu nimesikia kakupa mikataba mingi usaini inahusu nini?Kikwete:kaka mi mwenyewe siielewi kwa sababu yote imeandikwa kichina!Obama : angalia dogo usije kuuza mali zangu bila kujua!Kikwete: hapana kaka mali zako zipo salama!Obama: haya dogo, mwezi wa sita nakuja kukagua migodi yangu, mipaka ya kigamboni na gesi mana nasikia nyani wako wanaandamana kisa gesi!Kikwete: nitajitahidi kuwatuliza kaka, ila uje na hela za kuwapoza!Obama: powa dogo ila jitahidi gesi ije dar yote hapana kuwaachia kule!Kikwete: haya kaka ila uniletee na hela nataka nijenge bandari bagamoyo!Obama: bandari ya nini wakati ya dar inakushinda au ndo kutafuta maujiko nyumbani kwenu? Halafu hela mi sikuletei mwambie mchina wako akutumie!Kikwete: usifanye hivyo kaka!Obama: tatizo dogo unachezea hela, poa nitakuletea lakini utaniachia na serengeti national park!Kikwete: poa kaka nitakuachia na mikumi, ngorongoro na selou, maana kuna wenzangu wanaiba wanyama kwa hiyo bora nikuachie uwe unanipa hela!Obama 😛oa dogo asante!Kikwete: poa usiku mwema msalimie shem!Obama: ok!