Tafta memory card ya 4gb, download flash file ya huawei ktk website ya needrom kama cjakosea, ukimaliza kuchukua dload weka ktk memory card, weka kwa cm washa huku umebinya vol+ na vol- kwa pamoja itaanza kuji upgrade, angalizo file lazma linafanane na model ya cm yako...y530 ina files 3 na model 3 tofauti so kuwa makini, unaweza ua cm pia...ukishindwa c tunaflash kwa 15 au peleka kwa fundi aliye karibu nawe