J Jackson10 Member Joined Jun 4, 2021 Posts 36 Reaction score 24 Aug 26, 2021 #1 Nina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
Nina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
mikedean JF-Expert Member Joined Mar 15, 2018 Posts 3,271 Reaction score 4,655 Aug 26, 2021 #2 Niliwahi kusoma humu kuwa inapaswa kusafisha sehemu ya kuchomekea chaji kwenye Simu, itaondoka