Watchtower
Member
- Sep 18, 2022
- 93
- 182
Wakuu salama umu?
Kuna simu nilikuwa nayo ukipiga simu inakata mtandao mpaka umalize kuongea na mtu sasa nimebadili simu na natumia.
Voda ila nikipiga simu internet haikati isipokuwa ina lsusha kutoka LTE na kuwa H+ hiki ni nini wazee?
Mkuu fikiria tena zaidi imagine upo kwenye Online meeting iwe zoom au Teams halafu ume hotspot na PC halafu simu inapigwa kitendo tu cha kuita kina disrupt Ile internet uliyo connect, Huoni ni usumbufu huo? Kwanini nisi pick call uku internet iendelee kuwepo?Sasa mkuu net ya nini wakati simu ipo sikioni unahisi unachelewa nini kwa 5mins za kuongea na simu? Hata kama una download kitu baada ya call inaresume ilipoishia.
Sioni tatizo hapo
Kuna simu ingine unakuwa huna dhamira ya kuipokea mpaka ikate yenyewe pengine point yake ndo imesimamia hapoSasa mkuu net ya nini wakati simu ipo sikioni unahisi unachelewa nini kwa 5mins za kuongea na simu? Hata kama una download kitu baada ya call inaresume ilipoishia.
Sioni tatizo hapo
Kwamba utakuwa kwenye meeting online halafu unaongea na simu nyingineMkuu fikiria tena zaidi imagine upo kwenye Online meeting iwe zoom au Teams halafu ume hotspot na PC halafu simu inapigwa kitendo tu cha kuita kina disrupt Ile internet uliyo connect, Huoni ni usumbufu huo? Kwanini nisi pick call uku internet iendelee kuwepo?
Yes una mute tu mic yako ya Team meeting,nadhani huna experience na hii kituKwamba utakuwa kwenye meeting online halafu unaongea na simu nyingine
PoleWakuu salama umu?
Kuna simu nilikuwa nayo ukipiga simu inakata mtandao mpaka umalize kuongea na mtu sasa nimebadili simu na natumia.
Voda ila nikipiga simu internet haikati isipokuwa ina lsusha kutoka LTE na kuwa H+ hiki ni nini wazee?
Thread closedPole
Kwa lugha nyepesi
Kwenye simu zetu na simcard zetu sahivi nyingi zina 2G, 3G, 4G na chache sana zina 5G
Sasa huduma ya Voice (Hii ya kupiga na kupokea simu kwa sauti inatumia 2G kwa site nyingi na 3G pia ila nyingi sauti/ Voice ipo kwemye 2G)
Ilivokuja 3G ilivokuja ilikuja ina Voice na Data(Internet)
Ilivokuja 4G hii ilikua ni kwa data only(internet) kwa jinsi ilivowekwa hapa kwetu ila haisapoti Voice ndio maana ukiweka simu yako 4G au LTE only ukipokea simu itakata internet irudi kuhudumia voice call yako ambayo inatumia 2G
Simu ikiwa internet yake umesate 3G ambayo ndio inaonekana H au H+ utaweza kupokea simu Na kuendelea kubrowse internet kwasababu 3G inahuduma zote za voice na data.
Kama hujaelewa uliza swali.
Nimekuelewa mkuuPole

Tabia kama hii, ilifanya iue kabisa jukwaa la Tech. Kuna thread zingine kama hujui majibu yake unakaa kimya. Unawaacha watu wanaojuaN
NEtwork wewe ya nini wakati unaongea na simu😂 mawazo mengine ya kujitakia tu
Unaweza ukawa nayo na bado mtandao husika wakawa hawana hiyo huduma ya Voice Over LTE (VoLTE). Mfano kibongo bongo hapa ni tiGO na VODA pekee nadhani ndo wana huduma ya VoLTE, sina hakika kama wengine wamesha switch huko...tafuta simu yenye VoLTE
Voice over LTE
Unaweza ukawa nayo na bado mtandao husika wakawa hawana hiyo huduma ya Voice Over LTE (VoLTE). Mfano kibongo bongo hapa ni tiGO na VODA pekee nadhani ndo wana huduma ya VoLTE, sina hakika kama wengine wamesha switch huko...
Hajui pia hapo chaji inatembea vibaya sana ikiwa utaongea na simu huku una browse..Network wewe ya nini wakati unaongea na simumawazo mengine ya kujitakia tu
4G (LTE) doesn’t support voice calls, it is only a data transfer system. Your phone has to swap to a 2G or 3G cell to make a voice call.