Simu kujizima

ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
562
Reaction score
483
Wadau namiliki Samsung mini table 3 mwaka wa tatu sasa. Juzi baada ya kuchomeka chaji ikajizima ila iliendelea kuchaji.

Toka siku hiyo imebadili namna ya kuchaji nikitaka kuchaji lazima ijizime ndo ichaji.

Wajuzi wa mambo naombeni msaada tatizo ni nini kama chaja nimebdili hadi nimechoka
 
Hapo kuna vitu vitatu 1.Betri 2.Charger 3.inaweza ikwawa simu pia lakini 1 na 2 yanahusika zaidi
 
Aah aah bora iyo.

Nina techno camon cx.

Msala saana huwa inajibonyeza yenyewe inaandika inachotaka na kufuta bila hata kuigusa dadek.

Useenge mtupu, ghost touch ya kidwanz na sielew hata dawa yake
 
Aah aah bora iyo.

Nina techno camon cx.

Msala saana huwa inajibonyeza yenyewe inaandika inachotaka na kufuta bila hata kuigusa dadek.

Useenge mtupu, ghost touch ya kidwanz na sielew hata dawa yake
Hapo tatizo ni tachi ''touch screen''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…