Simu kujiwasha data na wifi yenyewe

Simu kujiwasha data na wifi yenyewe

Hta mm pia nna cm Huawei Acsend Y350 Inashda Hyo hyo pia! msaad plz
 
Izo simu mna apps mna run . yana control access. Cheki device manager uzitambue. Then zitoe.... Mf avast anti theft ina tabia hiyo. Unapobadili badili laini
 
Huenda kuna virus.
Simu yako inatoa pop-up messages zinazosumbua?
Kuna hiki kirusi korofi angalia kwenye google: com.nb.superuser

Kugundua ni kirusi gani, nili-install anti-virus na ku-scan simu. Kama sikosei nilitumia Anti-virus Dr. Web Light.
Kukiondoa hiki kirusi sio rahisi.
Mara ya kwanza anti virus ilifanikiwa kuondoa kirusi kilichokutwa, ila huenda haikuondoa kila kitu. Baadae mabaki ya kirusi yakarudisha virusi vilivyoondolewa na usumbufu ukaanza upya. Safari hii Anti virus haikuweza kuondoa.
Nili-disable hiyo com.nb.superuser na sikuhaingaika kufanya kingine zaidi.

Baada ya kui-disable, pop-up hazitokei na Wifi haijiwashi yenyewe tena.
 
Aina mpya ya kirusi cha android Hii nimekuta nayo kwenye tecno m3 hata huki reset bado tatizo mpaka uweka new firmware lakini jaribu reset tupe feedback
 
Justine umetisha! Simu HIPO gud. Unataka KUHUZA. Anayetaka UMUHUZIE! upo kambi gain kigoma?
 
Justine umetisha. Simu HIPO gud. UNAHUZA. Unatafuta Mtu UMUHUZIE! Uko kambi gani?
 
Huwa mmeweka otomac huwa ina ongozwa na asilimia ya chaji Chaji ikiwa zaidi ya as20 haizimiki. Tatizo ni betri sev
 
simu.yenye avast atitheft ikibadilishwa simcard inajiwasha wifi na data yenyewe. angalia kwa makini.isiwe ni simu ya wizi. avast antitheft ni Hard reset PROOF
 
Back
Top Bottom