wanamtoto mmoja yupo darasa la nne baba mtu anampenda mwanae ile mbayaduh! aibu!!!
sasa mwanwane hapa wewe mwambie jamaa kuwa ndoa imekisha hapa becoz hamuna tena trust......
sasaumesema hawa ni mwanandoa kama wana watoto basi wasisemi wakae pamoja kwa sababu yao.....la singi hapa nikuwa wastaarabu wakubaliane na mkeo jinsi watakavyolea hao watoto basi ila hapa ndoa hakuna tena!!!
Ingekuwa campaign Igunga ndo zinaanza ningemshauri huyo jamaa aende huko hata week tu "akapumzike"...............
Hizi ndoa zina mambo ya ajabu sana. Kuna tatizo hapo, maana huyo mke anasema ANGEMPA PENZI LOTE huyo jamaa (wa nje). Sidhani km huo msamaha alioomba unatoka moyoni. Ashalamba asali huyo. La msingi jamaa akae na huyo mkewe na kutafuta root cause of that marital infidelity. Wazungumze, wasisubiri matangazo ya wamarekani redioni ya kaa na mwenzio......... Waweza kuta ni kitu kinachoweza badilisha maisha yao kbs.....
hilo la kuhonga gari jamaa ndo analo litilia shaka ila yeye kamwambia ni kwakuwa alikuwa anamshauri kwenye maswala ya vipodozi,maana walikutana mlimanicity kwenye duka la vipodozi,jamaa huyo ndo biashara yake sasa alimsikia huyo mke wajamaa akitaja vitu vya urembo ndo kumuomba ushauri kwamba dukani kwake aweke vitu vya aina gani vinavyo pendwa sana ndipo akamtajia,na kupeana number,ni kweli mke wa jamaa nidecorator mzuri sana,mambo ya urembo anayajua,anasema jamaa alivyoona mafanikio ndo akaamua kumzawadia gari,naye akalikataaMkuu ni pagumu sana na mke kumuhakikishia mumewe kuwa hawajawahi kulala pamoja na huyo jamaa ni pagumu
Maana the way inavyooonekana ni kuwa wana ukaribu sana na wali[anga mapema kuwa wakutane
Na hata kufikia kuhongana gari ina maana there is a lot between
Maana mwanaume hawezi kukuhonga gari wakati hata mzigo hujatoa
hilo la kuhonga gari jamaa ndo analo litilia shaka ila yeye kamwambia ni kwakuwa alikuwa anamshauri kwenye maswala ya vipodozi,maana walikutana mlimanicity kwenye duka la vipodozi,jamaa huyo ndo biashara yake sasa alimsikia huyo mke wajamaa akitaja vitu vya urembo ndo kumuomba ushauri kwamba dukani kwake aweke vitu vya aina gani vinavyo pendwa sana ndipo akamtajia,na kupeana number,ni kweli mke wa jamaa nidecorator mzuri sana,mambo ya urembo anayajua,anasema jamaa alivyoona mafanikio ndo akaamua kumzawadia gari,naye akalikataa
naona hiyo ndo gear ya huyo jamaa kumpata maana alijua kabisa ni mke wa mtu na uwezo anao ndo akamwingia kwa gear hiyo,sijui naomba ushauri afanyeje?kwa mimi naona kama ndoa hamna vileMkuu akili kichwani mwako
Kuzawadiwa gari kwa sababu tuu ni decorator mzuri au anajua sana kufanya biashara ya vipodozi
Kama ingekuwa hivyo wanawake wengi wangekuwa wanaendesha magari barabarani maana wako wengi kwenye sector hizo mkuu
naona hiyo ndo gear ya huyo jamaa kumpata maana alijua kabisa ni mke wa mtu na uwezo anao ndo akamwingia kwa gear hiyo,sijui naomba ushauri afanyeje?kwa mimi naona kama ndoa hamna vile
Chukua hiiHili ni tukio la kweli juzi jumamosi saa mbili usiku,jamaa alimuaga mkewe mapema kuwa ataenda saluni kunyoa nywele akitoka kazini saa moja usiku,mkewe akamkubalia ila naye akamuomba akitoka kazini kwake anaomba naye apitie saluni jamaa naye kamkubalia mkewe, ilipofika saa moja na nusu jamaa akawa hajamaliza kazi zake ofisini akaona asiende tena sinza kunyoa,ilipofika saa mbili akmpigia mkewe na kumfahamisha kuwa haendi tena sinza kunyoa atarudi nyumbani hivyo amwambia mkewe asiende tena salon ya mbali aje ya karibu na nyumbani mama akakubali,baada ya dakika tano anaona mkewe anampigia akapokea akasikia mkewe naongea na simu nyingine na nimwanaume,alimwambia baba.........kaniambia nisije tena huko hivyo atuwezi kuonana tena leo,jamaa akatulia tuli kusikiliza mama akendelea kuongea na huyo jamaa yake bila mkewe kujua simu ya pili imejipiga,mama akaendelea kusema unajua max na kupenda sana mume wangu leo nilikuwa nimeamua nikupe penzi langu lote,ila njoo nitaenda salun ya hapa karibu,jamaa kusikia hiyo akapanic na kukata simu na kumpigia mkewe kumweleza alichokisika,mkewe alichanganyikiwa na salun hakwenda tena,akaenda moja kwa moja nyumbani kusubiri hukumu,jamaa alipofika vita ikaanza kwa kumbana mkewe tena wa ndoa amweleze ukweli kuhusu huyo jamaa,mama aweka mambo wazi kuwa huyo jamaa walikutana mlimanicity kama miezi 6 imepita na analimuhonga gari aina ya hopa akaikataa na hajawahi kumpa penzi,ila siku hiyo yangetimia,mama kaomba sana msamaha na kwamba hatarudia tena,sasa kaja kwangu kama msimamizi wa ndoa afanyeje amsamehe au ampe kilicho chake aanze mbele,na mimi nimelileta kwenu wanajf mnishauri cha kumweleza huyu jamaa yangu.asanteni