Simu kuisha chaji wakati inachajiwa

Simu kuisha chaji wakati inachajiwa

Mara nying huwa chaja ndo tatizo kama input power inakuwa ndogo na we unarun multitask lazima isiwe inajaa kama kujaza maji kwenye ndoo inayovuja
 
Hilo tatizo ni common kwa simu za Tecno. Nina dogo hapa kabadilisha charger kibao lakini hiyo simu kuna wakati ana charge ikiwa imezimwa na hujaa kwa muda wa siku mbili hadi tatu. Tecno inaonekana ndio shida zaidi. Ununuapo Tecno tegemea kukutana na majanga kama hayo.
 
Siku mbili...kah!!!
 
Wadau... Hivi inakuaje simu kuisha chaji wakati inachajiwa? Yaani simu mfano ilikuwa 20% baada ya kujaa inapungua... Tatizo hili nimeliona kwa simu ya bi mkubwa.. Anatumia Tecno M6..
Kama charger sio yake tafuta ya kwake.
 
Wadau... Hivi inakuaje simu kuisha chaji wakati inachajiwa? Yaani simu mfano ilikuwa 20% baada ya kujaa inapungua... Tatizo hili nimeliona kwa simu ya bi mkubwa.. Anatumia Tecno M6..
kwa tecno hilo tatizo lipo sana , hata mimi kuna mdau wangu anatumia Tecno N7 anakumbana sana na hiyo ishu.
sijui tatizo ni nini aisee...
 
Thanks kwa ushauri wadau..nilibadili chaja tatizo likaisha..now bi mkubwa halalamiki tena...
 
Wadau... Hivi inakuaje simu kuisha chaji wakati inachajiwa? Yaani simu mfano ilikuwa 20% baada ya kujaa inapungua... Tatizo hili nimeliona kwa simu ya bi mkubwa.. Anatumia Tecno M6..
Unatumia chaja yake?, na unatumia Wifi hotspot au wifi wakati una chaji?

Chaja inatakiwa isitoe pungufu ya 1A, au 1000mA kwa 5Volts, pia usitumie USB cable ambayo ni ndefu sana
 
Tumieni chaji kuanzia za tsh 12,000 kwenda juu ukitumia chaja za 3000 ndio tatizo km ilo hujitokeza mfano mimi mara nyingi simu natumia ikiwa connected kwenye umeme so lazima charger yaku iweze kujaza huku natumia ndio maana sinunui chaja chini ya 15,000 tena kwenye maduka ya vitu original
 
Startimes si king'amuzi, hizo simu kama zipo ni kabila moja na Tecno

Simu ni iPhone, Lg, samsung, htc na sony. Zingine hizo mmh unanunua at ur own risk
Mkuu ninatumia Solar 5 kutoka Startimes mwaka sasa na haina shida kuacha ile ya phone memory kuwa 1GB. Mambo mengine yote poa.
Hadi nataka sasa ninunue FAITH 1 kutoka Startimes nipate mauhondo. We ng'ang'ana na techno uchakae kwa mawazo!
 
Startimes si king'amuzi, hizo simu kama zipo ni kabila moja na Tecno

Simu ni iPhone, Lg, samsung, htc na sony. Zingine hizo mmh unanunua at ur own risk
Umeonesha uwezo wako wa kukariri maisha..huna tofauti na msukuma anayeenda dukani na kumwambia muuzaji nahitaji suruali ya mifuko mingi ya laki moja bila kujua inaweza ikawa hata elfu 20,000/=
 
Hilo tatizo lipo; nina sumsung note 3 imepata shida hiyo: sijajua sorce ni nini nataka nirudi kwa hawa sumsung walioniuzia aisee
Tatizo huwa ni charger unayotumia inakuwa imekufa.
 
USHAURI ni kwamba aidha mnatumia chaja isiyo sahihi kwa hyo simu i.e original.....au betri ni mbovu
 
Muda mwingine mtu anapoomba ushauri bora mkawa serious kumsaidia kuliko kuongea mambo yasiyo faa
 
Back
Top Bottom