Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Note 8 Milioni 2 hadi 3Binafsi naona Note series ziko poa.
Hapo ningekushauri uchukue Note 8 ingawa kwenye bajeti hapo sijui.
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Note 8 Milioni 2 hadi 3
Mkuu si bora nikafungue mabanda ya kuuza chips kwa siku niwe nalaza laki kwa sikuNote 8 Milioni 2 hadi 3
Labda asubirie zishuke shuke[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Kwa kweli...Labda asubirie zishuke shuke
ndio hivyo ila kuna wenye 'mijihela' ya kuchezeaMkuu si bora nikafungue mabanda ya kuuza chips kwa siku niwe nalaza laki kwa siku
ndio hivyo mkuuKwa kweli...
Lakini hata Note 5 bado ya moto anaweza chukua.
Pia ushauri wa Chief Mkwawa waweza msaidia.ndio hivyo mkuu
Mawazo ya kimasikini haya mkuu, mshauri mwenzio kama huwezi kaa kimya napo ni busaraMkuu si bora nikafungue mabanda ya kuuza chips kwa siku niwe nalaza laki kwa siku
Sio hivyo mkuu. Kila mtu ana kipaumbele chake na ndoto zake za maisha. Mwingine anawaza kupata mtaji wa banda na chips kwa laki 5 ilhali mwigine anahonga demu milioni 2 na gari juu, ama ananunua simu ya milioni 3. Accept our diversities!Mawazo ya kimasikini haya mkuu, mshauri mwenzio kama huwezi kaa kimya napo ni busara
Kabisa aiseePia ushauri wa Chief Mkwawa waweza msaidia.