Simu ipi nzuri kununua kwa budget ya laki 2?

Simu ipi nzuri kununua kwa budget ya laki 2?

truegooner

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
779
Reaction score
339
Habarini! ni simu gani yaweza kuwa nzuri kwa budget ya laki 2, kwa vigezo vya memory, camera, processor speed, ubora nk.
 
Huawei Y300
Lumia 520
Nokia Asha 311 n.k
 
Kwanxa ni.nzur..then inaupana mkubwa.kioo chake kizur.ina.brouse.haraka..
 
Back
Top Bottom