antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 452
- 886
Ninauza simu ninayoitumia.
Ni Infinix Hot 6. Internal Memory ni 16GB na RAM ni 2GB.
Inakaa na chaji zaidi ya saa 18 data ikiwa ON, na siku mbili data ikiwa OFF.
Haina shida wala tatizo lolote. Haijawahi kupelekwa kwa fundi wala kupata mpasuko wowote.
Ina miezi mitatu tangu inunuliwe
Bei: 170, 000
Piga: 0712083454