Simu inauzwa

Simu inauzwa

micqueen

Senior Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
174
Reaction score
75
Simu inauzwa aina ya Sony Xperia Z1 kwa shilingi laki tano alie tayari anicheki kwa namba hii 0753303502
 
Pole sana,kweli samsung fake zikitoka nyingi hadi ikawa shida kutambua kwa haraka
basi nimezichukia sana na mpaka sasa sitamani hata kuziona yaani nilizichukia na aliyenipa pia nikamchukia ila kwa sasa natafuta simu nimechoka kutumia tecno
 
basi nimezichukia sana na mpaka sasa sitamani hata kuziona yaani nilizichukia na aliyenipa pia nikamchukia ila kwa sasa natafuta simu nimechoka kutumia tecno
Hasira zoote kumbe ulikua umepewa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom