Lakini maongezo si yapo si Kuna bei za kushuka ama ni NiniInfinix smart 7 HD imetumika MIAKA MIWILI inauzwa LAKI NA TISINI!
Duh! mim siongei kitu
190k halafuWeka bei inayoeleweka
170000 nimeshuka hapo mweshoWeka bei inayoeleweka
kazi kweli kweli190k halafu
- infinix
- imetumika miaka 2
- specs za kawaida.
Anyway; pole kwa changamoto
sina neno170000 nimeshuka hapo mwisho
Bora umesema ukweliInfinix smart 7 HD imetumika MIAKA MIWILI inauzwa LAKI NA TISINI!
Duh! mim siongei kitu
Na kaigeuza makusudiInfinix smart 7 HD imetumika MIAKA MIWILI inauzwa LAKI NA TISINI!
Duh! mim siongei kitu
Makusudi Gani nimefanya wewe unaonaNa kaigeuza makusudi
190k hupat mtejaHabari ndugu zangu nauza simu Aina ya Infinix smart 7 HD ipo katika Hali nzuri Haina kipengele imetumika miaka 2 tu bei ni sh 190000 TSH karibuni maelewano yapoView attachment 3661700View attachment 3661701
Nimepatwa na shida ikiwa haraka itapendeza zaidi tukifanya biashara, simu ni yangu mwenyewe ata kwa Mwenyekiti tunaweza kwenda kuandikishana