Simu inauzwa: htc touch pro 2 only TSH 250,000/= !

Niko Mwanza, una jamaa niwasiliane naye nimalize business?
 
Mkuu niliinunua simu kwako,nilikuwa Mwanza ukanitumia nashukuru niliipata iko safi kwa kweli hii simu.lakini toka niinunue imepita miezi zaidi ya miwili nimetumia nguvu nyingi kutafuta mtu anaeweza kuinstall hiyo android hapa Mwanza imeshindikana kabisa. Niliinunua 250,000/=kama kuna mtu anaitaka aniPM nimpe kwa bei ya kutupa maana iko tu nyumbani haina kazi.
 
still unaweza itumia kwa OS yake ya Windows, mimi naitumia hii simu na OS yake ya Windows na wala sijahitaji Android sababu napata vyote ninavyohitaji kwa hiii OS yake. e.g internet speed nzuri tu, naweza kukonekt internet kutoka simu kwenda laptop yangu kwa wifi ya simu, n.k

ila kama mteja anataka na Android huwa namuwekea but sio wote wanaotaka, na wewe wakati unanunua hukusema vigezo lazima niwe nime-iweka Android.

Back
Top Bottom