Simu inagoma ku update au kudownload apps.

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
1,137
Reaction score
1,802
Ndugu wadau poleni kwa majukumu ya siku nzima ya Leo,sasa wakuu nimepata hili tatizo la simu yangu kugoma kuzi update na ku download apps mpya,hili tatizo nimekumbana nalo Jana.kwahiyo Wakuu najua humu kuna wataalam wa compute na ma IT,tafadhali naombeni msaada wenu mnisaidie katika hili.karibuni wadau!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ni simu ya jina gani?,Tecno?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mbona bado kuna 7GB free space

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia memory card, tecno nyingi ili ifanye kazi vizuri inabidi iwe na memory card, kama imejaa punguza vitu kwenye memory card, kama hujaweka weka memory card, utaona mambo yako yanakwenda vyema. Na hilo tatizo litakwisha.

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 
Ngoja najaribu mkuu

Back
Top Bottom