chungulia baseband nahisi ilishapoteaHabarini, naomba msaada mwenye ujuzi na hili tatizo la simu yangu ni samsung note 2 ilianza kwa kuzima ikawa ukiwasha inaonyesha samsung tu halafu haiendelei nkapeleka kwa fundi ika-flashiwa ikawaka nikakaa nayo kama siku mbili likaja tatizo la simu hai regist network, line inaandika emergence call only. Msaada jamani kwa anayefahamu nitatatua vipi.
Mambo ya tcra yashaanza hivyoHabarini, naomba msaada mwenye ujuzi na hili tatizo la simu yangu ni samsung note 2 ilianza kwa kuzima ikawa ukiwasha inaonyesha samsung tu halafu haiendelei nkapeleka kwa fundi ika-flashiwa ikawaka nikakaa nayo kama siku mbili likaja tatizo la simu hai regist network, line inaandika emergence call only. Msaada jamani kwa anayefahamu nitatatua vipi.
simu hiyo imekufa modem address, inayoifanya i link na mitandao, hivyo mtafute mtu anaitwa mwesiga 0754501807 posta atakutengenezeaHabarini, naomba msaada mwenye ujuzi na hili tatizo la simu yangu ni samsung note 2 ilianza kwa kuzima ikawa ukiwasha inaonyesha samsung tu halafu haiendelei nkapeleka kwa fundi ika-flashiwa ikawaka nikakaa nayo kama siku mbili likaja tatizo la simu hai regist network, line inaandika emergence call only. Msaada jamani kwa anayefahamu nitatatua vipi.
Ukweli ampelekee Mwesigwa ila ungemwambia na jengo..kifupi ni juu jengo la empress zamani.simu hiyo imekufa modem address, inayoifanya i link na mitandao, hivyo mtafute mtu anaitwa mwesiga 0754501807 posta atakutengenezea
cheki android version ni ipi? kama simu yako ilikuwa na android version ya mbele halafu akaflash version ya nyuma kuna uwezekano modem zikawa sio compatibleImei ipo
Sizani hilo tatizo lakawa la baseband aweke model ya hiyo samsung hapachungulia baseband nahisi ilishapotea
Duh post ya 2016 mkuu..nahis sim yenyew kashauzaSizani hilo tatizo lakawa la baseband aweke model ya hiyo samsung hapa