Amani kwenu ndugu zangu!
Nina simu yangu Samsung Galax y(young),GT S5360 imejilock baada ya kukosea ku draw pattern mara kadhaa.
Kwa sasa inanitaka niingize e-mail yangu na password,lkn kila nikiingiza inakataa.Inakuwa kama ina skip hivi upande wa password.
Nini cha kufanya?Tafadhali.