Simu haitoi wala kupokea call

Simu haitoi wala kupokea call

sheby dunia

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
78
Reaction score
83
Habari wakuu,

Nina SIMU yangu infinix smart 2 haipigi Wala kuingiza call yan(outgoing and incoming call disabled) lakin Kila kitu fresh meseji internet nmejaribu kufanya setting za call inanambia network or simcard error.

TATIZO HILI LIMEKUJA TU BAADA YA KUFORMAT YAN HARD RRSET. MWENY KUFAHAMU ANIJUZE.
 
Pole sana,

Ukipigiwa simu, anayekupigia anapata majibu gani, haipatikani au inatumika?

Umejaribu kuweka lini tofauti na hizo?

Hakiki IMEI namba TCRA kwa kutume ujumbe wenye tarakimu 15 za IMEI za simu husika kwenda 15090. Kama jina linalokuja sio sawa na model ya simu yako kuna shida. Angalia IMEI kwa code *#06#.

Check pia software version, ni latest. Kuna ripoti za simu kuonekana inatumika ukipigiwa kama software imepitwa wakati, nimeshuhudia kwa Tecno Spark 4 (KC8).

Angalia vitu hivyo, ukihitaji usaidizi zaidi 0767379327
 
Back
Top Bottom