Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,723 Reaction score 5,662 Oct 17, 2015 #1 Simu aina ya SONY, ukifungua playstore inagoma kufunguka kwa 3G ila kwa WIFI inafunguka.Msaada wakuu.
Simu aina ya SONY, ukifungua playstore inagoma kufunguka kwa 3G ila kwa WIFI inafunguka.Msaada wakuu.
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Oct 17, 2015 #2 Void ab initio said: Simu aina ya SONY, ukifungua playstore inagoma kufunguka kwa 3G ila kwa WIFI inafunguka.Msaada wakuu. Click to expand... Umei-root????
Void ab initio said: Simu aina ya SONY, ukifungua playstore inagoma kufunguka kwa 3G ila kwa WIFI inafunguka.Msaada wakuu. Click to expand... Umei-root????
Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,723 Reaction score 5,662 Oct 17, 2015 Thread starter #3 Nafikiri Zaidi said: Umei-root???? Click to expand... Ndio mkuu.
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Oct 17, 2015 #4 kama haja update ...Update kwanza alaf hapo Hem fanya ivi nenda kwenye hiyo app then Clear data na Cache af i-lauch kwa kuwasha 3g
kama haja update ...Update kwanza alaf hapo Hem fanya ivi nenda kwenye hiyo app then Clear data na Cache af i-lauch kwa kuwasha 3g
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,487 Oct 17, 2015 #5 cheki apn, nenda mobile netork halafu acess point hakuna setting za wap?
Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,723 Reaction score 5,662 Oct 17, 2015 Thread starter #6 Chief-Mkwawa said: cheki apn, nenda mobile netork halafu acess point hakuna setting za wap? Click to expand... Hakuna mkuu.
Chief-Mkwawa said: cheki apn, nenda mobile netork halafu acess point hakuna setting za wap? Click to expand... Hakuna mkuu.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,487 Oct 17, 2015 #7 Void ab initio said: Hakuna mkuu. Click to expand... then hapo hapo create new apn halafu connection name andika chochote na apn andika internet then back halafu make sure ipo activated utaweza tumia internet
Void ab initio said: Hakuna mkuu. Click to expand... then hapo hapo create new apn halafu connection name andika chochote na apn andika internet then back halafu make sure ipo activated utaweza tumia internet
Hyle Member Joined Mar 8, 2014 Posts 9 Reaction score 0 Oct 17, 2015 #8 kuna baadh ya apps playstore huwa zinahitaji strong network......
likeness Senior Member Joined Feb 9, 2014 Posts 153 Reaction score 42 Oct 18, 2015 #9 dial *#*#4636#*#* Phone information set preferred network type WCDMA PREFERRED or set WCDMA ONLY thank melater via mpesa
dial *#*#4636#*#* Phone information set preferred network type WCDMA PREFERRED or set WCDMA ONLY thank melater via mpesa