Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,723
- 5,662
Simu aina ya SONY, ukifungua playstore inagoma kufunguka kwa 3G ila kwa WIFI inafunguka.Msaada wakuu.
Simu aina ya SONY, ukifungua playstore inagoma kufunguka kwa 3G ila kwa WIFI inafunguka.Msaada wakuu.
Umei-root????
cheki apn, nenda mobile netork halafu acess point hakuna setting za wap?
Hakuna mkuu.