Wadau naombeni msaada kidogo hapa, nmechukua huawei ascend y530 mpya dukan lkn nkitumia line ya airtel inafanya kazi vizuri internet na vingine lkn inakataa watsapp haifungui.
Wadau naombeni msaada kidogo hapa ..nmechukua huawei ascend y530 mpya dukan lkn nkitumia line ya airtel inafanya kazi vizuri internet na vingine lkn inakataa watsapp haifungui..msaada pliz