Nakubali kwamba kila simu inakuwa na tatizo lakini sio kufikia kiwango hichi
LG admits G4 bootloop problem is a hardware fault, will repair affected devices kitu kama hichi kinaonyesha kuwa kama kampuni haupo serious na quality assurance ya bidhaa zako na pili LG, Motorola/lenovo, Sony etc. Sio kama kina Samsung, apple Tecno na I think pia Huawei wanaotoa international warranty za simu za na pia kuwa na service centres kila kona ya dunia. Ambayo inarahisisha matengenezo kama unavyo ona LG kwa tatizo la g4 ilikuwa inawatenegenezea watu wa USA bure wengine kwenye Nchi nyingine wakienda kwenye service centre they had to pay wengine ni network provider wao ndio alikuwa anawatengenezea but ziki rudi bado tatizo lipo na kwa tatizo langu simu niliagiza so ilikuwa a ipo under Googles warranty ndio tatizo hilo because nipo Bongo. Lakini ingekuwa Samsung ningepata warranty regardless nipo Nchi gani ambaye ndio the only person anaye toa 24months warranty.
Pitia hata hapa uone wenye warranty lakini simu wamenunua Nchi nyingine wanakata kutengenezewa
Bootlooped? Post your info here! [Megathread]