yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,916
- 4,168
Mkuu haizimwi hiisubiri trh 16 itaanza kuchaji vizuri,
jokessss
ngoja waje wataalam
Kweli kabisa mkuu. Tatizo lilikuwa chaja, nilikuwa naiamini sana sababu ni OG. ila nimejaribu za tecno zimechaji. Asante.kuna uwezekano hio chaja sio nzuri. umejaribu chaja nyengine?
Nimwshaidownload lkn Sijaielewa hyo App unaweza kunielezea japo kdg mkuu km hutojali inafanyaje kaziEmbu download hii application Ampere - Android Apps on Google Play
Angalia hiyo chaja inaingiza umeme kiasi gani kwenye simu yako.
Lg zinashida gani sasa? Ni issue ya chager tu mkuuMmmmhhhh hizi LG hizi,sisemi kitu.
Washa hiyo application then angalia connect charger yako uone kama umeme unaingia kama auingii hata kidogo basi jua utabidi kubadili charging system la sivyo simu yaweza hata kuungua.Nimwshaidownload lkn Sijaielewa hyo App unaweza kunielezea japo kdg mkuu km hutojali inafanyaje kazi
Ahh Mkuu yani LG sina hamu nazo kabisa maana mshikaji wangu alikuwa na LG g4 ghafla anaamka ikaanza kuboot loop bila mwisho tukajaribu kila Njia ikakataa tukasoma kwenye forums tofauti tukakuta ni tatizo linalotokea wengi nikamcheka sana kwamba imekula kwake.. Juzi juzi yakanikuta mimi na LG nexus 5x yangu screen ikaflicker kila nikiitumia yani ilinikosesha raha nimefanya vitu tofauti nothing mpaka kuna muda ikatulia yenyewe after a few days pia nikasoma kwenye forum nikaona ni tatizo la kawaida nikaamua tu ni uze so sema ukweli LG na mimi basi.Lg zinashida gani sasa? Ni issue ya chager tu mkuu
kama una warranty hakuna tatizo lolote, simu zote duniani zina matatizo na siku hizi makampuni mengi yanatoa warranty za miaka 2 kwa simu zao premiumAhh Mkuu yani LG sina hamu nazo kabisa maana mshikaji wangu alikuwa na LG g4 ghafla anaamka ikaanza kuboot loop bila mwisho tukajaribu kila Njia ikakataa tukasoma kwenye forums tofauti tukakuta ni tatizo linalotokea wengi nikamcheka sana kwamba imekula kwake.. Juzi juzi yakanikuta mimi na LG nexus 5x yangu screen ikaflicker kila nikiitumia yani ilinikosesha raha nimefanya vitu tofauti nothing mpaka kuna muda ikatulia yenyewe after a few days pia nikasoma kwenye forum nikaona ni tatizo la kawaida nikaamua tu ni uze so sema ukweli LG na mimi basi.
Hauoni sasa hivi LG G4 unapata kwa laki 6/7 tena BRAND NEW.. refurbished ndio usiseme yote because LG inataka kumaliza stock kwa sababu ya haya matatizo ya hii simu.
Nakubali kwamba kila simu inakuwa na tatizo lakini sio kufikia kiwango hichi LG admits G4 bootloop problem is a hardware fault, will repair affected devices kitu kama hichi kinaonyesha kuwa kama kampuni haupo serious na quality assurance ya bidhaa zako na pili LG, Motorola/lenovo, Sony etc. Sio kama kina Samsung, apple Tecno na I think pia Huawei wanaotoa international warranty za simu za na pia kuwa na service centres kila kona ya dunia. Ambayo inarahisisha matengenezo kama unavyo ona LG kwa tatizo la g4 ilikuwa inawatenegenezea watu wa USA bure wengine kwenye Nchi nyingine wakienda kwenye service centre they had to pay wengine ni network provider wao ndio alikuwa anawatengenezea but ziki rudi bado tatizo lipo na kwa tatizo langu simu niliagiza so ilikuwa a ipo under Googles warranty ndio tatizo hilo because nipo Bongo. Lakini ingekuwa Samsung ningepata warranty regardless nipo Nchi gani ambaye ndio the only person anaye toa 24months warranty.kama una warranty hakuna tatizo lolote, simu zote duniani zina matatizo na siku hizi makampuni mengi yanatoa warranty za miaka 2 kwa simu zao premium
Hayo ya LG ya kweli chief maana nataka nihamie jwenye hyo brandkama una warranty hakuna tatizo lolote, simu zote duniani zina matatizo na siku hizi makampuni mengi yanatoa warranty za miaka 2 kwa simu zao premium
ndio kama hakuna service centre si vyema kuinunua lakini lg wanayo service centre kenya na namba ya tanzania ya kupiga ili usaidiwe ipo ila kutengenezewa nadhani ndio hadi isafirishwe sijajua kama wanakupa replacement phone kwa kipindi ambacho simu haipo ama laNakubali kwamba kila simu inakuwa na tatizo lakini sio kufikia kiwango hichi LG admits G4 bootloop problem is a hardware fault, will repair affected devices kitu kama hichi kinaonyesha kuwa kama kampuni haupo serious na quality assurance ya bidhaa zako na pili LG, Motorola/lenovo, Sony etc. Sio kama kina Samsung, apple Tecno na I think pia Huawei wanaotoa international warranty za simu za na pia kuwa na service centres kila kona ya dunia. Ambayo inarahisisha matengenezo kama unavyo ona LG kwa tatizo la g4 ilikuwa inawatenegenezea watu wa USA bure wengine kwenye Nchi nyingine wakienda kwenye service centre they had to pay wengine ni network provider wao ndio alikuwa anawatengenezea but ziki rudi bado tatizo lipo na kwa tatizo langu simu niliagiza so ilikuwa a ipo under Googles warranty ndio tatizo hilo because nipo Bongo. Lakini ingekuwa Samsung ningepata warranty regardless nipo Nchi gani.
lg hana low end nzuri sana inabidi uwe makini, ila wanazo midrange na high end nZuri.Hayo ya LG ya kweli chief maana nataka nihamie jwenye hyo brand
Soma hii ukinunua simu ya LG Nchi flani na ukaenda nyingine hawatokubali kukutengenezea pitia hii thread uone LG walivyo wapumbavu Bootlooped? Post your info here! [Megathread]ndio kama hakuna service centre si vyema kuinunua lakini lg wanayo service centre kenya na namba ya tanzania ya kupiga ili usaidiwe ipo ila kutengenezewa nadhani ndio hadi isafirishwe sijajua kama wanakupa replacement phone kwa kipindi ambacho simu haipo ama la
hii hapa service centre yenyewe
Service Center
hilo la simu kufa motherboard mbona ni kawaida sana makampuni yote hutokea na usisahau kuwa hizi simu siku hizi zinatengenezwa mahala pamoja hasa hasa foxconn hivyo ugonjwa wa huyu mwengine pia anao.
-stylus ya note 5 ilikuwa inaharibu kabisa simu ukiichomeka vibaya na samsung aka admit ni hardware fault akabadilishia watu
-iphone 6/6 plus kubend
-antena za iphone 4 kutoshika net
cha muhimu ni warranty tu