Hii inamfaa kabisaVivo X50 pro
Hii simu najichanga niibebe serious..kama si hii basi ni Motorola edge plusHii inamfaa kabisa
Hela ya kawaida pia tunatofautiana kuna Mil.1,Mil.2 kuendelea mpk 5MSio billionaire ,ila hala ya kununua simu za kawaida haisumbui, so tafadhari tubaki ktk hoja, boss wangu.
Habari wakuu, nataka badilisha simu kwa sasa. Nataka simu Android, yenye camera kali, ram ya kubwa nzuri na storage ya kutosha. Simu gani yanifaaaaa?
Isiwe tecno, huawei au infix. Ushauri. Wazee
snapdragon ni adim huku kwetu ni exynosangalia chipset ya simu,(snapdragon/qualcom)
processor
battery angalau kuanzia 4000mAh
mambo ya camera achana nayo
Hela ya kawaida ndo nini. Unahisi ukienda dukani na "shilingi hela ya kawaida" uatapata simu?Sio billionaire ,ila hala ya kununua simu za kawaida haisumbui, so tafadhari tubaki ktk hoja, boss wangu.
Xiaomi redmi note 8snapdragon ni adim huku kwetu ni exynos
bei ganXiaomi redmi note 8