Simu bora za android mpaka 2015 -2016


Thanx kwa ufafanuzi
 
Nimetoa ufafanuzi kuwa nahitaji kuchagua simu moja katika kila category ranging from high end, mid range and low end
sasa utapendaje simu moja ya low end, midrange na highend? jinsi unavyoficha kwenye mambo ya technolojia ndio jinsi unavyoelekea kununua bidhaa mbaya. we funguka una kiasi gani, unapenda nini na nini watu watakuambia. hata kama unataka kuuza kwa wanawake we sema, jinsi utakavyojieleza ndio jinsi utakavyopata bidhaa nzuri
 
OK, Kwa sababu umesema unaweza kuafford budget ya simu yoyote hakuna haja ya kuchukua low end na mid range, nakushauri uchukue high end phones i.e flagship phone kati ya hizi, Samsung galaxy S7, Samsung galaxy S7 edge, LG G5, Sony Xperia Z5 kwa simu za android, na kwa upande Apple iPhone 6S au 6S plus au iPhone 7 au 7 plus, ila kwa upande wa simu za Apple nakushauri ununue tu iwapo hujawahi kutumia Android phone, ama ka,a huko nyuma uliwahi kutumia Apple devices vinginevyo kwa simu za mwanzoni utahisi kama upo kifungoni ila ukishazoea hutajutia kamwe.
Ingelikuwa ni mimi nataka kununua simu na nikachagua upande wa simu za Android ningelivuta subira mpaka simu za Google Pixel zitoke I think ni kuanzia tarehe 20 hivi mwezi huu ingawa unaweza pre-order kwa sasa. Sababu zifuatazo zinanisukuma kuwa na simu hii
1. Mi ni mpenzi wa stock Google android experience, mpaka sasa hakuna kampuni yoyote inayotengeneza simu za android iliyonishawishi kwenye UI, zaidi hizi UI zao zimekuwa zikipoteza pure android user experience na kufanya simu kuwa nzito
2. Kuja na Google Assistant, hii AI ya Google kwa kweli ni moto wa kuotea mbali, kwa upande AI kampoteza Apple na siri AI yake, na hii ni msaada mkubwa sana ingawa kibongo bongo haina msaada sana kwa sababu nimekuwa nikiitumia kwenye Allo kuna saa inatoa info zisizo sahihi lakini inajifunza kutoka kwako, hii simu inakuja na pre built Google Assistant
3. Kuwa na mategemeo ya kupata updates bila ukakasi (hapa nazungumzia security patch na new versions of android angalau kwa miaka miwili hadi mitatu hivi), halafu we unakuwa wa kwanza kupata updates
4. Free unlimited photos and video storage, ingawa hapa Google wenyewe hawajaweka itadumu kwa muda gani au itakuwa lifetime, ukiwa na hii simu kamwe hutawahi kulalamika out of storage
 

Superb
 
kaka mimi natumia android tangu 2013 na nimetumia matoleo mengi tu. kwa sasa natumia note4.
nikawa natamaa ninunue simu ya pili toka apple na kwa kuanzia nataka nichukue iphone5s je ninapotea njia? nipe ushauri
 
kaka mimi natumia android tangu 2013 na nimetumia matoleo mengi tu. kwa sasa natumia note4.
nikawa natamaa ninunue simu ya pili toka apple na kwa kuanzia nataka nichukue iphone5s je ninapotea njia? nipe ushauri
Mi sikushauri uchukue iPhone 5s kama umezoea kutumia simu zenye display kubwa, ila kama display ndogo kwako si tatizo ni afadhari uchukue iPhone 5 SE, ila kama umezoea simu zenye display kubwa chukua iPhone 6 kama huna budget ya kutosha, ila kama upo vizuri I recommend uchukue iPhone 6S hutaijutia
 
kweli sijapenda simu zenye kioo kidogo any way ngoja nijipange kidogo kwa ajili ya iphone6
 
ok to be straight simu za mid range
 
 
Hivi hizi simu wanadai 3GB Ram ni kweli au matangazo nisijeingizwa mjini na nimezaliwa central town police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…