GYNEOCOLOGIST
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 171
- 112
Wakuu naomba kujuzwa ni simu gani bora zaidi za android kwa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2016 ambazo miongoni mwake nikinunua sitajutia
Xiaomi mi5 iko vizuri sana na bei yake ni rafiki.Wakuu naomba kujuzwa ni simu gani bora zaidi za android kwa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2016 ambazo miongoni mwake nikinunua sitajutia
Kwanza itabidi uwe specific, yaani unataka high end, au mid range au low end, maana hapa ndo tutakuelekeza vizuri, maana tunaweza kukueleza simu za high end kumbe una hela ya simu ya low endWakuu naomba kujuzwa ni simu gani bora zaidi za android kwa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2016 ambazo miongoni mwake nikinunua sitajutia
Unaweza ukamwambia hivi kumbe ana hela ya simu za low end, ilibidi awe specific, anataka simu kwenye group lipi kati ya high end, mid range au low endoverall nafkiri ni s7 edge, unless una vigezo maalumu
ndio maana nikamtaka aweke budget yake vinginevyo tutapasuka vichwa bureeeUnaweza ukamwambia hivi kumbe ana hela ya simu za low end, ilibidi awe specific, anataka simu kwenye group lipi kati ya high end, mid range au low end
Unaweza ukamwambia hivi kumbe ana hela ya simu za low end, ilibidi awe specific, anataka simu kwenye group lipi kati ya high end, mid range au low end
yap ukiwa tayari ntakutumia namba ya m-pesa, tuma hella ako kwa m-pesa ntakutumia sim yako kwa whtsapMsaada plz Je Kwa tsh 200,000 naweza nikapata simu yenye 4g lte camera nzuri na Beatty nzuri?
Kwanza itabidi uwe specific, yaani unataka high end, au mid range au low end, maana hapa ndo tutakuelekeza vizuri, maana tunaweza kukueleza simu za high end kumbe una hela ya simu ya low end
Wewe ni mandaziyap ukiwa tayari ntakutumia namba ya m-pesa, tuma hella ako kwa m-pesa ntakutumia sim yako kwa whtsap
Nimetoa ufafanuzi kuwa nahitaji kuchagua simu moja katika kila category ranging from high end, mid range and low endyap ni kweli, ndio maana na mimi nikajibu overall, simu ambayo inatick mabox mengi kwa muono wangu ni hio
Kwamimi ukitua kwenye s6 flat sio edge hutojutia ,ila wengine watakuja na ushauri zaidi
Nimetumia simu nyingi but sijawahi kukutana na simu complete kama hii ,mimi napenda kusikiliza music,kupiga picha,kucheza games,kuchart haswa fb and whats app ,kudownload video za you tube,kudownload muvi vyote hivo nafaidi sana kwenye s6 ,charge inakaa kutwa moja yaan nacharge asubuh full na narudi nayo home jioni. Kabla ya hii nimepita kwenye microsoft 520,620,640xl,820 dah android nilikia sizipendi nimepita tu kwenye grand prime ,htc m8 hapo ni toka 2015 na hii 2016 ila toka niiguse s6 siwazi kutoka tena maana kwa mimi sina ninachokosa na imezipita zote nilizotumia kwa kila kitu (kwa matumizi yangu lakini) ,pia nimechagua s6 plain sio edge ili kuepuka kukwangua zile edges maana kwa kudondosha simu tu inanitokea sana ,ahsanteWaweza fafanua kidogo as to why sitojuta, toa advantages as compared to others