Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
i phone ngapi mkuuiPhone [emoji336]
ikoje hiyo?xaom
i phone ngapi mkuu
7 ndo kLi
Huawei p7
Anamaanisha Xiaomiikoje hiyo?
DuuuuuhMi sikufichi mzee, ugonjwa wangu ni betri liwe linakaa sana na chaji.
Kwa hiyo simu ninayoiamini sana na nimeitumia sana ni Oukitel K10000.
Toleo lipiLenovo
Askwambie mtu!, inakaa na chaji mpaka unasahau kama hii ni android. Sema nzito kishenzi. Uroho wangu wote wa kutumia simu kwa fujo hapa umeisha. Inakaa na chaji kuanzia wiki na kuendelea. Jipimie mwenyewe hapo.Duuuuuh
Ndo dizaini gani hiyo tena sampuli?
P780 na S 860. Mbali na picture quality na display yake zinanikosha zaidi na ukubwa wa betri zake 4000 mAhToleo lipi