themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,845
Hususani hilo shuka hahahahahAmini nakwambia, kuna wapuuzi wataanza kujadili ghetto lako badala ya biashara, kila la kheri ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua 150k boss...
Bajeti iko hapo... Kama upo tayari nipm
Poa kila la kheri..
Shuka chafu tusiongeeAmini nakwambia, kuna wapuuzi wataanza kujadili ghetto lako badala ya biashara, kila la kheri ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe badilisha chupi hiyoIla Mkuu ungebadilisha hilo shuka kwanza