Kuna simu nimeziona pale kikuu zina ram ya kutosha na internal gb nzur sn halaf bei ya kawaida nikasema ngoja nililete hapa kwa wajuvi mtujulishe juu ya ubora na uimara za hiz simu
Naomba wataalamu wa simu mtufafanulie zaid natuma na sceen shot zake

Kama wewe ni mmoja wa wasomaji wa tovuti ya Tanzania tech basi na uhakika unakumbuka ahadi niliyotoa kipindi cha nyuma ya kuelekeza njia za kukusaidia kufanya manunuzi mtandaoni. Kwa sasa tayari tumesha angalia jinsi ya