simshauri dada yeyote kutunza bikra hadi ndoa.



mimi nipo tayari kukuchumbia, na nitavumilia kwa kipindi chote hicho mpk tuingine ndani ya ndoa. ni pm tuanze mawasiliano. note: uwe unamvuto tafadhali.:yield:
 


njoo kwangu, hadi ndoa ndio tungonoane.nipigie +255784541***. au tafuta mapumamiyoga@tajiriwakinampanda.
 
Kuwa mlokole...Atakaekujia hataingia na sera za kugegedana kwanza. I say 27 halafu unataka kukata tamaa...mimi ningeona nimekula ngombe mzima umebakisha mkia na unakata tamaa
 

Duh we kiboko kama ni mwanao nae vijana wamfanyizie tuu?
 
Jitunze tuu utampata mjanja atakugegeda kwa gharama ya kukuoa so take care.
 
Mi sijaona taabubya hiyo bikira. Unataka utuambie ungekuwa hauna bikira ungelala na kila anaekutongoza ama?
 
Hongera mwaya kwa kujitunza miaka yoooote hiyo, nawala usikate tamaa...... Mumeo yupo njiani yu'aja!!!!!!!!!

Halafu usitupotoshe wadogo zako...... Sawa!!!!????
 
Aisee nadhani ndio Mungu kaniletea .
Nilikuwa natafuta mke ambaye ni bikira. Ngoja niku pm tuyajenge.
 
ila kama we hujabikiriwa hadi leo,ndo uwaambie wenzio hivyo!!!!!!!

kidume utampata tu soon,uonje raha ya dushelele
 
Umeshawahi kujuliuza kuwa je kila msichana aliyetolewa bikra aliolewa na huyo mtoaji? au wasichana ambao hawajaolewa je wote wana bikra? Note Kugegedana hakuna uhusiano na kuolewa yaani ndoa unaweza gegedwa sana tu na ukaishia kuwa hivyo hivyo, so kama umeaamua kuanza kugawa gawa kwa sababu unapenda ila sio njia ya kuolewa kwa 100%
pia ujue zipo faida za kujitunza hasa kwa dunia hii ya leo, mara zote acha akili ifanye kazi yake usitumia kitu kingine mbabadala kufikiri utapotea
 
... 27 years.......!!!!!??? lazima una tatizo kubwa.
 

kama sijakuelewa vile! wewe upo mlengo upi! wa mama yako au wa kuachia?
 


Naona ukweli wa haya maneno ni 0% ........ cha kushangaza humuogopi MUngu kabisa kusema maneno kama haya tena wakati huu wa mfungo wa Ramadhani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…