Alafu we jamaa uwe unajaribu kuelewa swali kabla ya kujibu.
Nilikuuliza raba zimetengenezwa kwa material gani, dhamira yangu ni kujua ni za kitambaa au ngozi au pengine ni ile ngozi laini. Sasa majibu unasema hizi ni special
Sasa special ndio material gani?
Nafahamu sio mtumba maana yake ni special je zimetengenezwa kwa material gani (malighafi gani ilitumika kutengeneza hizo raba?).