Si kweli usipotoshe hizo ni Ronya toka china k/koo hakuna mfanya biashara anaechukua mzigo original boss ili wapige superprofit pengine labda wewe ni mgeni wa ile k/koo alafu vans original ikiletwa bongo watakaoweza afford ni wachache na wenye uelewa tu na ndo maana wanaamua kuchukua hizo ronya toke china,hivo basi labda pengine haufahamu au umeamua kudanganya wateja wako kumbuka pia itakuwa unapoteza moja ya kitu muhimu credibility kwa mteja kuwa muwazi mteja achague kitu kulingana na pesa yake.Kila la kheri
Note😱riginal zipo ila bei ndefu kiasi chake na maduka yapo wanayouza ila tu wa Tz wengi ni wagumu kulipa pesa ndefu kwa bidhaa ndo maana zinaletwa hizi Ronya.