dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Arusha ni mji wangu mkuuu upo ktk eneo ganiNipo Arusha, nimeamka nimekuta umeme umeshakatika jana usiku mpaka napanda kitandani saa nne usiku umeme ulikuwa bado haujarudi.
Sijui ndio staili mpya ya kuupiga mwingi kwa Tanesko?
Kwa Tume ya Uchaguzi hii hii ya akina Mahela, au kutakuwa na nyingine mpya?CCM mmekisha jiandaeni kuondoka 2025....
Jamaa wanatoa mapovu kwa Bashiri badala ya kutoa mapovu kuhusiana na rushwa zilizotamalaki kwenye chaguzi za CCM, na hatumsikii chawa hatabmmoja akikemea rushwa kwa nguvu kama wanavyofanya kwa Bashiru, sijui hawa chawa wapo kwa ajili ya nani kati ya wananchi waliowachagua au serikali, wabunge wetu wanafiki sana, shime tuwamwage kwenye uchaguzi ujao.Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria.
Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka kumiliki CCM na serikali yote madudu ni mengi sana wamefanya sitaki nijikite uko.
Kwa hili alilo lizungumza katika mkutano wa mviwata ni dhairi shair kuwa Dkt. Bashiru amesema ukweli mtupu na msg was sent and delivered effectively. Kudos sana bashiru usiogope tupo na wewe sisi wakulima mtu anajidai ana upiga mwingi wakt hakuna lolote alilofanya ameporomosha uchumi mliyo ujenga na jiwe kwa damu na jasho leo tumeshuka kiuchumi.
Naona umeamua kujilipua na nnakusihi katu usiombe msamaha wowote wacha wa kusute na kukusimanga ila ukweli ndio huu uliyo sema na tunakungaa mkono [emoji817] kbsa usije kuwa kama ndugai alivyo chemka kwenye hoja yake ya msingi kuhusu tozo.
CCM mmekisha jiandaeni kuondoka 2025 na wengi wenu rais ajae atawaburuza mahakamani shenzi kabisa wezi wakubwa.
Na hata MVIWATA wenyewe wamemshangilia sana na wameona ukweli wa alichokisema, mjinga mmoja wa Kilosa anawatishia MVIWATA wasimsikilize mtetezi wao ...akili tope kabisaKwa hili alilo lizungumza katika mkutano wa mviwata ni dhairi shair kuwa Dkt. Bashiru amesema ukweli mtupu na msg was sent and delivered effectively.
Hpn nimetafakar na kuona kuwa bashiru ni mpuuz tu kama wapuuz wengine walioko ccmBashiru is always good person
Huo uwezo wa kutafakari unao?!Hpn nimetafakar na kuona kuwa bashiru ni mpuuz tu kama wapuuz wengine walioko ccm
InafikirishaHakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria.