Simon Msuva is in South Africa for trials

Simon Msuva is in South Africa for trials

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Confirmed news this morning by EFM that Simon MSUVA is in SA for trials, to follow Nonda Shabaan's path?
Msuva ameondoka leo alfajiri lakini uongozi wa Yanga umelalamika kutokana na mchezaji huyo kushindwa kuaga na kujiondokea pasipo ruhusa

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva ameondoka nchini leo asubuhi kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye klabu ya Orlando Pirates.

Msuva ameondoka leo alfajiri lakini uongozi wa Yanga umelalamika kutokana na mchezaji huyo kushindwa kuaga na kujiondokea pasipo ruhusa.

Msemaji wa Yanga Jerry Muro ameiambia Goal wamehuzunishwa na kitendo kilichofanywa na mchezaji huyo kwa sababu walikuwa wanajua taarifa zake za kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini lakini walimtaka asubiri ligi imalizike ndiyo aweze kwenda.

"Tuna mechi ya Ligi ya Vodacom dhidi ya Azam leo lakini bado tunamchezo mmoja wa mwisho na Ndanda FC, Mei 9 mechi zote hizo tulikuwa tunamtegemea lakini ameondoka tutajua adhabu ya kumpa pindi atakaporudi,"amesema Muro.

Msuva anatarajia kuanza majaribio kesho baada ya kufika na kupumzika leo na majaribio hayo yatatumia wiki moja.
Chanzo: Goal.com
 
Msuva ameondoka leo alfajiri lakini uongozi wa Yanga umelalamika kutokana na mchezaji huyo kushindwa kuaga na kujiondokea pasipo ruhusa

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva ameondoka nchini leo asubuhi kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye klabu ya Orlando Pirates.

Msuva ameondoka leo alfajiri lakini uongozi wa Yanga umelalamika kutokana na mchezaji huyo kushindwa kuaga na kujiondokea pasipo ruhusa.

Msemaji wa Yanga Jerry Muro ameiambia Goal wamehuzunishwa na kitendo kilichofanywa na mchezaji huyo kwa sababu walikuwa wanajua taarifa zake za kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini lakini walimtaka asubiri ligi imalizike ndiyo aweze kwenda.

“Tuna mechi ya Ligi ya Vodacom dhidi ya Azam leo lakini bado tunamchezo mmoja wa mwisho na Ndanda FC, Mei 9 mechi zote hizo tulikuwa tunamtegemea lakini ameondoka tutajua adhabu ya kumpa pindi atakaporudi,”amesema Muro.

Msuva anatarajia kuanza majaribio kesho baada ya kufika na kupumzika leo na majaribio hayo yatatumia wiki moja.
 
Bora aende isije akafanyiwa kama Tegete alierudi kucheza mechi ya Simba
 
ah muro bwana yani anaongea as if ni kocha!! league si iliisha kabla hata hamjakwenda tunisia
 
Hizi mechi za viporo Ndio vimfanye akose majaribio? Yanga muwe Na ustaarabu kidogo mbona Kama mnanyanysa? Akiwepo asipokuwepo kuna shida gani Kombe mnalo mkononi?
 
Young Africans talismanic striker Simon Msuva boarded a Johannesburg flight yesterday where he is lined up to attempt trials with ABSA premiership side Orlando Pirates for possible signing.

The young player has joined team mate Mrisho Ngasa who is on his way to join another South African top flight side of Free State Stars.

A top official within Yanga who pleaded for anonymity said Msuva was told to wait until the Mainland premiership comes to an end next week before he could board the flight for the transfer mission with the Soweto-based premiership stalwarts.

‘It will be an unwise for a player who is leading the golden boot award race to travel at this time when his opportunity to grab the award will be at stake” said the Yanga official.

Msuva is leading the pack of Mainland players in the chase for the golden boot award this season with 17 goals, opening a three-goal cushion with teammate Amisi Tambwe who happens to be Burundian.

Msuva has been prolific and highly instrumental for Yanga’s title chase campaign scoring crucial goals at the right times.

Yanga were playing against dethroned champions Azam in penultimate round match of the Mainland league at the National Stadium in Dar es Salaam yesterday.

Msuva and Ngasa will be the only duo to cross over borders and trade their soccer business with foreign countries. Others who are enjoying the opportunity include TP Mazembe duo of Thomas Ulimwengu and Mbwana Samata, Qatar-based Mwinyi Kazimoto and Juma Luzio of Zambian premiership team of Zesco United.

This is Msuva’s first attempt to cross over to professional football team outside Tanzania. The player has scored 35 goals in 102 matches in all competitions for Yanga and previously used to feature for Azam FC’s development youngsters team.

Should the Yanga duo find a breakthrough and join the South African teams, this will be a huge blow for the Mainland newly crowned champions who will have torrid moment to fill their gaps.
SOURCE: THE GUARDIAN
 
Yule bosi wa Simba ,nani yule alisema msuva ataenda simba ,sasa wazee wa nafasi ya tatu imekuaje?
 
Back
Top Bottom