Simon kisena tumkabithi Jiji aliendeshe.

Simon kisena tumkabithi Jiji aliendeshe.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,428
Baada ya kumsikiliza Simon Kisena akipangua maswali huku na kule kama kipa wa Bacelona na kujiridhisha kuwa hatumii masaburi kufikiri na yuko fiti kumkichwa napendekeza jiji la dar libinafsishwe Simon akabidhiwe hisa asilimia 51 na manispaa 3 zibaki na asilimia 49.Sawa najuwa mtasema kuna sehemu kadhaa kijana kacheza faulo lakini nimempa kadi ya njano baada ya kugundua katukusanyia milioni 850 UDA toka Juni hazijaguswa ziko benki.
Akifanikiwa kulinyoosha Jiji hili linaloendeshwa ki-saigon saigon mwaka 2015 tumkabidhi na Ikulu kabisaa.
 
Baada ya kumsikiliza Simon Kisena akipangua maswali huku na kule kama kipa wa Bacelona na kujiridhisha kuwa hatumii masaburi kufikiri na yuko fiti kumkichwa napendekeza jiji la dar libinafsishwe Simon akabidhiwe hisa asilimia 51 na manispaa 3 zibaki na asilimia 49.Sawa najuwa mtasema kuna sehemu kadhaa kijana kacheza faulo lakini nimempa kadi ya njano baada ya kugundua katukusanyia milioni 850 UDA toka Juni hazijaguswa ziko benki.<br />
Akifanikiwa kulinyoosha Jiji hili linaloendeshwa ki-saigon saigon mwaka 2015 tumkabidhi na Ikulu kabisaa.
Mods naomba kwenye heading pasomeke Robert badala ya Simon.
 
Hana uzoefu wowote wa kufanya shughuli za usafirishaji na in particular usafirishaji wa watu(abiria).
Hata hivyo bado hakunishawishi kwamba ni mtu anayeweza kuaminiwa,hayuko makini. Kuingiza pesa ya shirika kwenye account binafsi ya m/kiti wa bodi ni ushahidi tosha kwamba huyu bwana haaminiki na hawezi kuaminiwa na watu makini.
 
Umeshaingia line.jamaa ni mjanja sana.unaamini vipi maneno anayosema?yupo kibinafsi zaidi.waulize wauza Pamba alivyowachakanua kwenye kilo.Anachotaka ni maslahi yake yeye.Yuko tayari kwa lolote lile.Aligonga mwamba kwa Shibuda tu
 
Mwita nimeiweka kiutani.

Naona tapeli anapigiwa debe
Bwana mdogo angekuwa waziri wa nishati bajeti ingepita mara ya kwanza hata bila ya mkono wa Jairo hahaha! au unaonaje angekuwa msemaji wa ikulu waandishi uchwara wangeogopa kuuliza maswali.

uporoto01 una akili sana.mia
asante.mia.

Robert Simon Kisena
Nashukuru mkuu.
 
<br />
<br />
hivi inawezekana mtu asiye tapeli kumpigia debe tapeli? Just curious!
Mwita kwahiyo nami tapeli ? hapa ulitumia nini kufikiri hahaha!

Umeshaingia line.jamaa ni mjanja sana.unaamini vipi maneno anayosema?yupo kibinafsi zaidi.waulize wauza Pamba alivyowachakanua kwenye kilo.Anachotaka ni maslahi yake yeye.Yuko tayari kwa lolote lile.Aligonga mwamba kwa Shibuda tu
hebu pumueni kidogo huu ni utani tu.
 
Mbona hamuwataji alionao huyo Robert au Simon vyovyote iwavyo I mean wakina Kapuya etc? Wizi ni wizi tu hata ukifanyiwa sugar coating
 
Mbona hamuwataji alionao huyo Robert au Simon vyovyote iwavyo I mean wakina Kapuya etc? Wizi ni wizi tu hata ukifanyiwa sugar coating

Aisee naona tuwaite na barick na uranium tuiojadili kama ya kisena. maana leo tumeanza kufagia chumbani.
 
Vikampuni hivi vya kitapeli vina kawaida ya kutokulipa kodi za serikali za aina mbalimbali
TRA wataogopa kuanika ulipaji kodi wake.
Yeye mwenyewe atuambie toka ameanza kufanya biashara na uwekezaji wa mablioni ya pesa amelipa kodi shilingi ngapi?
Kama ni mlipa kodi mzuri basi tunaweza kumwondoa kwenye utapeli kwa sababu msukumo wa kwanza wa kulipa kodi hufanywa na mwenye biashara kabla ya kukamatwa na TRA au kuwashirikisha TRA kukwepa kulipa kodi.
Asijifanye yeye ni NET GROUP SOLUTION iliyokuja Tanesco kukusanya madeni kwa kusaidiwa na serikali na baadaye kuondoka na kiasi kikubwa cha pesa hizo. Mgawo wa umeme tunaouna sasa ni matunda ya Net group S.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom