Kwenye soka la Italy angalau kuna wawili ambao wamestaafu soka miaka si mingi sana, Simon Inzagi na Phillip Inzagi.kuna inzaghi wa ngapi
Naona anga za kimataifa hasa ligi pendwa za Europe kuna patashika nguo kuchanika ya makocha wanaoingia na wanaotoka.Ndo umjue sasa
Arsenal chama langu huko vipi bado Alteta ajafungashiwa virago?Ndio ndio asee.. Kila timu inataka mafanikio makubwa