Simon Group Wanyang'anywa U.D.A

Source please!!!

Hii ni habari ya tarehe 10 january 2012 ............hili sakata lipo wazi sana lakini imekuwa kama wanampiga nyoka mkiani badala ya kichwa.......lifike mwisho tujadili mengine....humu JF tu kuna kila kitu......
 

In red ni Baraza
 

kumbe ni zilipendwa ?
 
yaa zamani sana..
 
I wish Ingekuwa hivyo.. UDA ina assets nyingi ya kutosha kujiendesha yenyewe... hawa wanaendeleza kugawana mali za umma kama walivyogawana Nyumba za serikali ...
 
Hii ni habari ya tarehe 10 january 2012 ............hili sakata lipo wazi sana lakini imekuwa kama wanampiga nyoka mkiani badala ya kichwa.......lifike mwisho tujadili mengine....humu JF tu kuna kila kitu......

CCM ni ile ile, kilichobadilika ni kuwa Riziwani Kikwete ameishapata ubunge so atapambana na wabaya wa UDA yake humohumo mjengoni...
 
kumbe ni zilipendwa ?

Kweli kabisa lakini inajadiliwa sasa kama marudio hata Bungeni while mchezo ulipaswa kuisha........hizi zilipendwa zinasaidia ku connect dot sasa maana sisi Watanzania tunausahaulifu wa kushangaza........
 


Hii snema kali sana hii...nasubiri nion mwisho wake!
 
Ndio maana watu wanapata uchungu kama kina Lusinde...

Kuuzwa kwa UDA ni sawa na malaria Haikubaliki kabisa...

Simon Group ni mbisha sana yaani kashfa zote hizi haachii tu mgumu kama Farao hadi aje avuliwe nguo zake ndio ataelewa nini maana ya Wizi
 
Mara tutasikia
1.saimon group wameishitaki baraza la madiwani.
2.mahakama imetoa amri saimoni group walipwe fidia ya mabilioni.
3.serikali itabeba deni hilo.
4.nauli zinapanda ili kulipa deni .
Subirini muone sarakasi sasa.
 
Serious,UDA is now better than when Simon took it,kama aliuziwa kwa pesa kiduchu ni bora ikajurikana kiasi gani kiliunguzwa alipe.

We need to compromise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…