Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limepiga marufuku malori yote yaendayo minadani kubeba mizigo na abiria.
Limepiga marufuku hiyo kutokana na ongezeko la ajali ya maroli hayo ambapo mtu mmoja amefariki na wengine 28 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea katika kijiji cha Migato wilayani Itilima.