Apo kwa Ariana na Camilla sio sahihi,,Ariana ni Bonge la msanii huenda hujawahi jua ufanyaji wake wa muziki ndomaana unadhani ivo..Ariana Grande ni Producer,Composer,Songwriter pia ni Singer na ni mnoma kwenye ku'fuse mziki wa kiume na kuishi nao yente kike,,while Camilla Cabello ana uwezo wa kuimba level za Ariana but kuna vitu shazi anazidiwa na Ariana Grande hadi Urembo.