k2206
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 749
- 770
Mwanzo 34:25-26mkuu unachanganya vitabu bro..Biblia haijasema hivyo...nipe mistari
Sent using Jamii Forums mobile app
[25]Ikawa siku ya tatu, walipokuwa wakiumwa sana, wana wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, nduguze Dina, wakatwaa kila mtu upanga wake, wakaujia mji kwa ujasiri, wakawaua waume wote.
[26]Wakawaua Hamori, na Shekemu mwanawe, kwa makali ya upanga, wakamtwaa Dina katika nyumba ya Shekemu, wakatoka.
NADHANI UTAMWELEWA VIZURI ZAIDI MTOA MADA.
Sent using LEAGOO M12