Simbachawene: Marufuku maafisa Utumishi kuzuia uhamisho wa wanandoa kazini.

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene, akijibu hoja za wabunge, hasa la uhamisho wa watumishi wakiwemo wanandoa wanaotenganishwa kutokana na majukumu ya ajira, alikemea tabia ya maofisa watumishi kuzuia uhamisho wa watumishi wenye ndoa kuhama kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kituo kingine kwa lengo la kuwafuata wenzao.

Alisema kuwazuia ni kuwanyima haki ya msingi, na kuwaagiza wabunge katika maeneo yao wasaidia kusimamia haki za watumishi. Lazima sheria za utumishi zizingatiwe, walimu hawa au watumishi wanayo haki ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine, lakini pia kuishi na wenza wao, lakini utadhani mtumishi anapoomba ni kama anasaidiwa, hapana ni haki yake ya msingi, waheshimiwa tusimamie haki za watumishi,” alisema Simbachawene
 
Kuna afisa mmoja yuko wilaya ya kilolo mkoa wa Iringa ,anaitwa Maila huyu amekuwa na majibu ya hovyo sana. anakujibu eti hata mimi mke wangu yuko mbali hivyo siwezi kumuhamisha mtu labda utafute wa kubadilishana nae.ndoa nyingi za watu ziko matatani kwa sababu za kipuuzi kabisa
 
Walivyozuia mwanzo walisahau kwamba ni kukiuka haki za watumishi? Anakubaliana nami kwamba sasa watumishi wafungue kesi ili serikali iwalipe kwa kuvunja haki zao za msingi kabisa?
 
Chama cha Matapeli

Yaani mtu anatafuta front page

Siwezi msikiliza mtu mwogo mwongo kama mhongo
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene, akijibu hoja za wabunge, hasa la uhamisho wa watumishi wakiwemo wanandoa wanaotenganishwa kutokana na majukumu ya ajira, alikemea tabia ya maofisa watumishi kuzuia uhamisho wa watumishi wenye ndoa kuhama kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kituo kingine kwa lengo la kuwafuata wenzao.

Alisema kuwazuia ni kuwanyima haki ya msingi, na kuwaagiza wabunge katika maeneo yao wasaidia kusimamia haki za watumishi. Lazima sheria za utumishi zizingatiwe, walimu hawa au watumishi wanayo haki ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine, lakini pia kuishi na wenza wao, lakini utadhani mtumishi anapoomba ni kama anasaidiwa, hapana ni haki yake ya msingi, waheshimiwa tusimamie haki za watumishi,” alisema Simbachawene
Daaaahh hongera mkuu
 
kama ni kweli waziri kasema ni muongo mkataba wa ajira ni kati ya mtu binafsi na mwajiri sio kati ya mwajiriwa na mumewe,mkewe au familia kama hajui sheria za kazi aache uwaziri haraka aache ubabaishaji
 
Mpaka tuone press release y'a msigwa. Maana kuhama mpaka kigezo utafute wa kubadilishana.
 
Mi mke wangu kajaribu kuomba na Mkurugenzi alimjibu hovyo sana kwamba Hamna uhamisho na akitaka aache Kazi, inauma sana.
 
Back
Top Bottom