Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
simba piga kazi achana na majuha ili ushindwe majukumu awaze kujibu majibu ya wahuni wanaotaka kukuchafua piga kaz.pamoja sana
mawe au mahera ninayo hoja ambazo hazina mashiko tutazijadil namna hii
maji yalikuwa shingoniJoseph Josephat.
Acha hizo wewe ungekuwa na hela ungeenda kuiba simu?KIBAKA wa kawaida wewe katafute kazi ya kufanya
cdm mnamatatizo ya akili mmeamua kunipa hako kakesi ka mchage mm sihusiki huko,jibuni hoja .mnaiba cm wengine mikopo
Akizungumzia madai hayo Simbachawene alisema: "Hapana si kweli, ningekuja hapo mjini nisingejificha… Tatizo la wananchi wetu hawajapata elimu sasa nitaendaje huko kimyakimya ili iweje? Jana nilikuwa ofisini na vikao kutwa nzima… Nenda ‘airport' (uwanja wa ndege) kaulize… Hata mimi nimeona kwenye jamii forum mtu yeyote anaweza kuweka chochote."
Source: mwananchi
Katafute shamba huko kijijini ulime achana na siasa huiwezi....watakuchoma moto hapa dar es salaam mjini
Ndio mana kwenye post yeyote guests huwa wengi kuliko members...kumbe ni akina chawene.......