Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,878 Reaction score 10,515 Aug 11, 2013 #1 Jamaa alikutana na simba porini, kwa woga akapiga magoti akafumba macho akasali, alipofumbua macho akakuta simba amepiga magoti anasali, jamaa akauliza "na wewe kumbe una dini? simba akajibu "wewe ----- ina maana huko kwenu hamsali kabla ya kula?"
Jamaa alikutana na simba porini, kwa woga akapiga magoti akafumba macho akasali, alipofumbua macho akakuta simba amepiga magoti anasali, jamaa akauliza "na wewe kumbe una dini? simba akajibu "wewe ----- ina maana huko kwenu hamsali kabla ya kula?"
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Aug 12, 2013 #2 Safi hii! Imenichekesha sana.