Simba yasema kauli ya Manara haijatolewa kwa maelekezo ya Klabu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,017
9,885
Klabu ya Simba imesema kauli ya kubagua mshabiki katika mechi kati ya Simba na Plateau United haikutolewa kwa maelekezo ya Klabu ya Simba

Desemba 2, Msema wa Klabu ya Simba, Haji Mnara alitoa kauli ya kutowahitaji washabiki wa Klabu ya Yangu kwenda kushabikia mechi yao

Klabu ya Simba imesema haitawazuia watanzania watakaokwenda uwanjani kuwashabikia timu ya kutoka nchi ya kigeni, na wamewahakikishia kuwa hawatabugudhiwa
1607011290258.png
 
Hii club inaendeshwa kihuni Sana, Mo ni Mjini, Mabata Mjini, Magori kidogo anakujakuja Ila duh!
Kwa kauli hii nilitegemea wataipinga mapema kabisa, lakini wanasubiri Hadi tamko la TFF, klabu hii inatakiwa kubadilika Kiuongozi ili iwe klabu kubwa Kama TP Mazembe
 
Back
Top Bottom