Yondani walikuwa wakimtambua kama mpenzi wa Yanga siku zote pale Msongamanoni, kila Simba ikifungwa na Yanga, Yondani alikuwa akibebeshwa lawama za kucheza kinazi, sasa karejea home tatizo liko wapi?
Hawa pia waliwahi kwenda Simba: 1. Edibliy Lunyamila, 2. Saidi Mwamba (Kizota), 3. Mohamed Hussein (Mmachinga), 4. Thomas Kipese (Uncle Tom), 5. Mike Barasa, 6. Ephraim Makoye (Wa jina), 7. Amri Kiemba, 8. Mrisho Ngassa, 9. Kigi Makasi, 10. Yusuph Macho (Muso), just a few to mention, wengine ongezeeni wakuu maana orodha ni ndefu, sasa jeuri ya Simba kuicheka Yanga iko wapi?
Bathez aliwekwa benchi karibu misimu 6 kaja Yanga ndio kipa namba moja mnatamani angebaki,
Nurdin mlisema mgonjwa wa moyo hawezi cheza tena mpira
Chuji kuna kiongozi wenu alikuwa anakula mke wa Chuji,akaamua aje Yanga
Yondani aliwashinda kumlipa mshahara mkiti wenu akaapa Yondani hatacheza Yanga
Hawa pia waliwahi kwenda Simba: 1. Edibliy Lunyamila, 2. Saidi Mwamba (Kizota), 3. Mohamed Hussein (Mmachinga), 4. Thomas Kipese (Uncle Tom), 5. Mike Barasa, 6. Ephraim Makoye (Wa jina), 7. Amri Kiemba, 8. Mrisho Ngassa, 9. Kigi Makasi, 10. Yusuph Macho (Muso), just a few to mention, wengine ongezeeni wakuu maana orodha ni ndefu, sasa jeuri ya Simba kuicheka Yanga iko wapi?
nenda Tawi la Mpira Pesa uoneshwe kadi yake
Ref: Best Player 2012/13
Hawa ni kwa mwaka huu tu na huenda kwa msimu wa 2013/4
- Mrisho Ngassa
- Obina
- Shaban Kondo
- Dida.........mzizi wa SSC
- Wakimkosakosa Kiemba
- Walimkosakosa Kaseja
- ................................ATAKUWEPO TU