Simba yaongoza kwa mashabiki Tanzania

JF wengi ni Simba au Yanga?


  • Total voters
    31

Bianconeri

Senior Member
Nov 24, 2019
113
74
Kwa kuangalia wingi wa mashabiki Simba ndio ina mashabiki wengi zaidi ya Yanga.

Kipindi Yanga anafanya vizuri
na kipindi Simba anafanya vizuri. Mechi za Simba mikoani na Dar Es Salaam ndio zimekuwa na mashabiki wengi zaidi.

Na kwenye social media Simba ndio anaongoza kwa followers.
8068C626-61BE-4953-82E6-2A61FE0DD90E.jpeg
094B0BDF-0359-4430-B28C-04A528FA66A6.jpeg
 
Tuwe wakweli tu kwa hapa bongo Hanna team inayo izidi simba but Vyura FC inaizid simba kitu kimoja ,kuto waliba wachezaji na makocha stahiiki zao bc
 
Piga ua garagaza Wahindi na waarabu hawawezi kuwa wengi kuliko wenye nchi yao, yaani wananchi, naam huo ndiyo ukweli mchungu kwa wanazi wa mikia fc a. k. a mbumbu fc
 
Simba haina Mpinzani pia mashabiki wake ni wale wenye Kipato cha kati hivyo hata kiuchumi wako vizuri.
 
Group la Simba SC Tanzania Telegram. Karibuni

 
Back
Top Bottom